Kibonzo cha Gado, ni Rais Samia na Katiba Mpya

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1648120672036.png
Alipoingia madarakani hali ya hewa ilikua shwari sasa katiba mpya inamletea maumivu ya kichwa.
 
Mambo ya katiba mpya wa kulaumiwa kikwete, kaanzisha mchakato afu mwishoni kalazimisha aanze kwana warioba kuhutubia bunge, mwishoni kaja na mawazo yake ya serikali mbili, ccm wakapagawa mwishoni kabisa mchakato ukawa mfu!
 
CCM kitu chochote kinachotishia kuwatoa madarakani kwao ni haramu.
 
Angeachana na 2025 akaruhusu mchakato wa katiba mpya. Heshima kubwa angevuna.

Lakini sasa atasikia namna gani? "Kapewa 5 anataka 10" - - Tshimanga Assosa.
Hata yeye angependa iwe hivyo, lakini wenye chama wanataka CCM ibaki madarakani ilinde maslahi yao.
 
Huyu kuwa yuko tayari kuuweka urais wake 2025 rehani kwa kuruhusu katiba mpya?

Siyo kuwa utakuwa ule usemi wa beberu sasa?

"Too good to be true."
 
Angeachana na 2025 akaruhusu mchakato wa katiba mpya. Heshima kubwa angevuna.

Lakini sasa atasikia namna gani? "Kapewa 5 anataka 10" - - Tshimanga Assosa.
Angeacha legacy ambayo ingeishi miaka na miaka
 
Raisi anakazi anaongoza watu wasio na ubongo kweli hata kama anazingua ndio umchore hivi ☺☺☺
 
Back
Top Bottom