Kibonzo cha hali halisi ya nchi na wananchi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1622067232176.png
 
Inawezekana mwendazake aliamua kulishusha chini hilo sahani lililobebwa, akaliweka katikati ya wabebaji?

Waliobebwa wakashindwa kupambania waliyoyazoea, wakajikuta hotdogs zimeshavamiwa, kreti ziko tupu na gari inakimbiza wajawazito zahanati?

Kwamba mama ameshaipandisha sahani juu, anaanza kupanga wa chini ya sahani na wa juu ya sahani?

Ni maswali tu yaliyonijia.
 
Mwedazake aliipandisha juu zaidi hasa octoba 2020
 
Inawezekana mwendazake aliamua kulishusha chini hilo sahani lililobebwa, akaliweka katikati ya wabebaji?

Waliobebwa wakashindwa kupambania waliyoyazoea, wakajikuta hotdogs zimeshavamiwa, kreti ziko tupu na gari inakimbiza wajawazito zahanati?

Kwamba mama ameshaipandisha sahani juu, anaanza kupanga wa chini ya sahani na wa juu ya sahani?

Ni maswali tu yaliyonijia.
Hakika kabisa.
 
Hivi wee rafiki una nini lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo ndiyo ugonjwa wake lakini huyo[emoji1][emoji1] kupona kwake ni ngumu aombewe tu apate nafuu si unajua mwendawazimu haponi anapata afadhali tu.
 
Back
Top Bottom