Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

Kama kuna mwenye korosho alete magunia kadhaa nimpe njugu mawe
 
Umekuja kwa hasira na matusi juu? Niambie kama una tatizo lolote linalopelekea uwe na hasira kiasi hichi, nakuahidi nitakusaidia likiwa ndani ya uwezo wangu.
 
Huyu kipanya anawakilisha jamii gani hiyo?
DSM au Liwale?
 
Mzee kabla hizi pesa tunashika leo kumetokea transition for a long time na kurud hatua moja nyuma itachukua muda mrefu hapa nakubaliana na wewe

Lakini kutoka paper money mpaka barter trade ni ngumu na sababu haisababishwi na inflation kama ilivyo zimbabwe wala haisababishwi na kushuka thamani ya pesa. Moja ya sababu ni kukosekana kwa pesa kabisa yani huna hata senti moja ndo barter trade inaweza kutokea

Kama shule hukuelewa omba ueleweshwe bro sio kulazimisha vitu ambavyo havipo.

Tanzania kulikua na msemo kwamba “vyuma vimekaza” hii ilimaanisha kwamba hela haipo mifukoni mwa watu, bungeni kulikua na mjadala mkubwa kw nini serikali inatumia strategies mbovu kweny kutafuta hela

Hii ilipelekea baadhi ya vtu kupanda bei including sukari. Ndipo serikali ikaingilia kati, otherwise tungekua pabaya sasa hivi
 
Sure bro, huyu jamaa kakazania uongo
 
Kuna Mama mmoja jirani yangu watoto walirudishwa shule tangu last week, ilibidi apeleke mchele, (maana alikuwa nao ndani alikuwa anasubir bei iwe juu ili auze,) huko shuleni badala ya pesa ili watoto waingie class,
Kiukweli hali haijakaa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…