Kibonzo cha Kipanya Leo, alie elewa kinachomliza huyu mtoto licha ya Baba yake kumpa uji na maziwa

Kibonzo cha Kipanya Leo, alie elewa kinachomliza huyu mtoto licha ya Baba yake kumpa uji na maziwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1601881395704.png
 
Nafikiri ulitaka kuandika 'kibonzo'
 
Maendeleo ya vitu.

Chupa ya maziwa ipo, maziwa hakuna, sahani nayo haina uji.. mzazi anamnyamazisha mtoto kwa kumuonesha vitu!! Ni sawa na mzazi aliyetokosa mawe ili watoto waamini chakula kitaiva
 
Sura ya Baba inatisha. Pamoja na Wasanii kupiga magoti kinafiki lakini Mtanzania kagoma analilia Uhuru wake Tu.
 
Umejuaje kama Kampa uji na Maziwa?

Binafsi naitafasiri kama Baba kaweka chupa tupu na sahani tupu Mezani, then ndani hivyo Hakuna Maziwa Hakuna uji wa kumrisha mtoto, that's why mtoto analia.
Maendeleo ya vitu
 
Back
Top Bottom