Kibonzo cha Kipanya Leo, alie elewa kinachomliza huyu mtoto licha ya Baba yake kumpa uji na maziwa

Imeeleweka hiyo, asubiri ADHABU yake ifikapo Oktoba 28. Sasa Basi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila komeo anabonge la ndonga hapo kwny fronti hedi
 
Baba anashangazwa,jinsi gani mtoto haridhiki,hafurahishwi hana shukurani na jitihada za baba yake kuhakikisha anapata anavyohitaji.
NB. Tujifunze kuwa na moyo wa shukrani kwa vyote tunavyofanyiwa na wazazi,wakubwa,ndugu wakuu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…