Kibonzo cha Kipanya; maumivu ni kwa wote haijalishi wewe ni chama gani.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1610451088925.png
 
Tuisome tu,

Lets meet at the top, cheers 🍻
 
MIMI NAUMIA KUONA WAPOTOSHAJI WANAVYOHANGAIKA KUMCHAFUA RAIS WETU MAGUFULI NA KUBEZA JUHUDI ZA SERIKALI. I HATE YOU MNAOJIFANYA WANAHARAKATI SIJUI MNATETEA HAKI KUMBE NI VIBARAKA WA MAADUI WA NCHI YETU MNAOTAKA RAIS WETU ASHINDWE.
Kwani yametoka wapi hayo yote mkuu? Kuna mahali mtu yoyote kamuongelea Rais hapo?
 
MIMI NAUMIA KUONA WAPOTOSHAJI WANAVYOHANGAIKA KUMCHAFUA RAIS WETU MAGUFULI NA KUBEZA JUHUDI ZA SERIKALI. I HATE YOU MNAOJIFANYA WANAHARAKATI SIJUI MNATETEA HAKI KUMBE NI VIBARAKA WA MAADUI WA NCHI YETU MNAOTAKA RAIS WETU ASHINDWE.
Acha kuwa mnafiki sifia hadharani kwa kuweka V id hakuna anaye amka asubuh amchafuwe Rais ila hali halisi uchumi ndio huwo kama una mtoto au mzazi amepoteza kazi basi zidi kusifia ila watu wanalalamika ukweli anajenga miundombinu while watu wanakufa njaa je ni kwa manufaa ya nani? Pili anataka amalize miradi yote trust me wanamdanganya end
 
NA WEWE WEKA ID YAKO HAPA TUKUJE NI NANI UNAYEISUMBUA SERIKALI NA KUIKOSEA HESHIMA. KILA SIKU SERIKALI INAHANGAIKA KUBORESHA MAISHA UNAJIFANYA HUONI JUHUDI ZOZOTE
 
MIMI NAUMIA KUONA WAPOTOSHAJI WANAVYOHANGAIKA KUMCHAFUA RAIS WETU MAGUFULI NA KUBEZA JUHUDI ZA SERIKALI. I HATE YOU MNAOJIFANYA WANAHARAKATI SIJUI MNATETEA HAKI KUMBE NI VIBARAKA WA MAADUI WA NCHI YETU MNAOTAKA RAIS WETU ASHINDWE.
Wewe ndiye kibaraka tena wa kusifu na kuabudu. Kwani maumivu hatupati wote ?!

Odhis *
 
NA WEWE WEKA ID YAKO HAPA TUKUJE NI NANI UNAYEISUMBUA SERIKALI NA KUIKOSEA HESHIMA. KILA SIKU SERIKALI INAHANGAIKA KUBORESHA MAISHA UNAJIFANYA HUONI JUHUDI ZOZOTE
Huyo ni Kada kuliko wewe uliejiunga juzi juzi. Angalia posts za nyuma utamjua huyo

Odhis *
 
Back
Top Bottom