Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1617435144974.png
 
Kwani nani aliyeshika ifunguo?
na ni nani aliyemfunga huyo mtu?
Huyo mtu hapaswi kufungwa??

NATABIRI...

Huyo mama hatojishighulisha na hizo siasa za hao the so called "wafungwa"
 
Ni yule Mtanzania “mnyonge” ambaye hata uwezo wa kuvaa kandambili hakuwa nao ila bado akafungiwa hapo.

Hawa wamesokotwa na minyororo mizito na unahitaji “chain saw” kukata na sio hivyo vifunguo viwili😅
 
Watz tulifungwa na marehemu dikiteta magufuli, maza funguo hizo anazo ni yeye sasa kututoa ama kutuacha selo, uamuzi ni wake.
 
Kipanya anawaona watanzania wakiwa kama wafungwa na kuwafungua kaja ila yeye kaja na funguo tofauti na makufuli waliyo fungiwa

Manake watabaki wafungwa wa halo hapo
Uko sahihi.

Kwamba mama pamoja na kupewa meno ila bado atakuwa controlled na mfumo.


Ni MAGUFULI pekee aliyeweza kushinda hizi nila za utumwa akawa anafanya kile anachoona Ni chema kwake.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom