Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

Picha huwa na mambo mengi sana;

1. Kuna jiwe hapo kabla ya huyo mfungwa, huenda Madam akajikwaa kabla ya kumfungua.

2. Funguo inaonekana lakini hatuoni kufuli, yamkini hii funguo haimuhusu huyo aliyefungwa. Na funguo ukiziangalia ni za vitasa tofauti.

3. Inawezekana jamaa ana mnyororo usio hata na kufuli kwa hiyo kilichomfunga ni hofu zaidi haihitaji, ufunguo kuwa huru.

4. 'Mfungwa' hata hana habari kama 'neema' inamjia, huenda akafunguliwa na akabaki kifungoni kwa kutoelewa kama yuko huru.

5. Je, mfungwa ni 'mdanganyika' ama watawala?
 
Noted👏
 
No. Kwa fasihi za kifalsafa mchoro huo ni wa funguo,inamaanisha kufungua chochote,haijalishi ni mnyololo au kufuli au kitasa

.
Kufungua fikra zetu tunazoamini kuwa sisi ni wanyonge.
 
Ni yule Mtanzania “mnyonge” ambaye hata uwezo wa kuvaa kandambili hakuwa nao ila bado akafungiwa hapo.

Hawa wamesokotwa na minyororo mizito na unahitaji “chain saw” kukata na sio hivyo vifunguo viwili😅
Uwezo wa kununua kandambili hawana lakini ilibidi wanunue kitambulisho cha mmachinga 20,000 kwa mwaka.
 
Au sio?. Ngoja nimrukie Masudi mwenyewe. Ila vipi Masudi na jiwe,vilikiwa haviivi kabisa?
Masoud aliwakilisha mawazo ya wengi juu ya Jiwe bila maneno hatawkumshitaki huwezi.
 
Back
Top Bottom