Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Oct 10, 2024 #1 Shida ni nini? -Elimu (mbona wengine wanaelimu kubwa hata maprof?) -Uchawa -Njaa (mbona wengine wanauwezo na ni matajiri kabisa?) - Ashakum Si Matusi au ni AFYA YA AKILI?
Shida ni nini? -Elimu (mbona wengine wanaelimu kubwa hata maprof?) -Uchawa -Njaa (mbona wengine wanauwezo na ni matajiri kabisa?) - Ashakum Si Matusi au ni AFYA YA AKILI?
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Oct 10, 2024 #2 Hapo kwenye Maggitaa tayari Zuchu ashachapwa Chuppa na Mawe kwa Uchawa. Kazi imeanza Mbeya huenda ikapunguza mapambio.
Hapo kwenye Maggitaa tayari Zuchu ashachapwa Chuppa na Mawe kwa Uchawa. Kazi imeanza Mbeya huenda ikapunguza mapambio.
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Oct 10, 2024 Thread starter #3 mmteule said: Hapo kwenye Maggitaa tayari Zuchu ashachapwa Chuppa na Mawe kwa Uchawa. Kazi imeanza Mbeya huenda ikapunguza mapambio. Click to expand... Alipata haki haki yake mujarabu.
mmteule said: Hapo kwenye Maggitaa tayari Zuchu ashachapwa Chuppa na Mawe kwa Uchawa. Kazi imeanza Mbeya huenda ikapunguza mapambio. Click to expand... Alipata haki haki yake mujarabu.