Kibonzo cha leo: Vita dhidi ya ugaidi

Naombeni tuiangalie hii picha hapa chini kwa mujibu wa msanii Kingo.

Binafsi nimeshindwa kuitafsiri maana uwezo wangu wa kusoma habari picha ni mdogo.

Naomba wale magwiji wa kutafsiri hizipicha watujulishe maana elimu haina mwisho.

 
Wako very shallow

Gaidi Hana sura, uniform wala faith
 
Hata mwanasesere could be a terrorists

If drones can terrorize community why not a toy?
Wacha ajichore maana siku hizi jambo unalifanyia chumbani kwako na kesho yake unalikuta limeshafika ulaya
 
Kwa mahakama zetu hizi za bongo Mkuu ambazo hukumu zinafanywa Ikulu tuombe Mwenyezi Mungu sana ili waone aibu na hivyo kutenda haki.

Sijui aibu ataziweka wapi aisee.
Bbc ni watu wabaya sana
 
Kwa mahakama zetu hizi za bongo Mkuu ambazo hukumu zinafanywa Ikulu tuombe Mwenyezi Mungu sana ili waone aibu na hivyo kutenda haki.
Amina mkuu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…