Kibonzo; Mwanzo wa tozo ulianzia huku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kuna Raisi anayeingia madarakani halafu akute Vault ziko za kutosha...!!?

Je wanaondoka madarakani huwa wanajichotea za kustaafu amaa...!?
 
Hivi kuna Raisi anayeingia madarakani halafu akute Vault ziko za kutosha...!!?

Je wanaondoka madarakani huwa wanajichotea za kustaafu amaa...!?
Kikwete alijigamba kuwa aliachiwa mpunga mrefu hasa akiba ya pesa za kigeni
 
Ndo maana utawala wake bata lilikiwa jingi hadi uswazi...!?
Nchi bado hakuna presdaa aliyemfikia Ben kwa kuwa na mikakati kabambe ya kukuza uchumi hasa ukizingatia ameipokea nchi ikiwa taabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…