Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃

Kihuhalisia wewe ni mpumbavu ambaye hujijui kuwa ni mpumbavu
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆

Nchi kama Russia au Venezuela hazimuungi mkono Iran kwa sababu ya Uislamu, bali kwa sababu ya maslahi ya kisiasa na kiuchumi mfano kuipinga Marekani na NATO).

Hivyo kuhusisha hilo na Wakristo ni kupotosha ukweli.
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
Inaonesha hata huko madrasa ulikuwa unakula sana fimbo, au ni katika harakati zile zile za uislamu kutumia uongo ,

Quran yako inasema kabisa Wayahudi na wakristo ni marafiki wao kwa wao ,

Tena inawabia muwachukie ,ila hapa unajifanya kutumia taqqya kuwa Wayahudi na wakristo ni maadui, yaani unapingana kabisa na Tapeli muhamad 🤣

Sababu kuu ya Wakristo kupungua Mashariki ya Kati (ikiwemo Yerusalemu) ni

Uvamizi wa Kiislamu kuanzia karne ya 7
Kodi ya jizya na shinikizo la kidini
Vita na mateso ya kihistoria
Yerusalemu ilitekwa na Umar ibn al-Khattab mwaka 637, baada ya hapo Wakristo walianza kupungua taratibu.

👉 Kabla ya hapo
Hakukuwa na Uislamu wala kitu inaitwa dini ya Uislamu

Wakristo na Wayahudi ndio waliokuwa wakazi wakuu hapo Yerusalemu toka karne na karne .

Kwa hiyo kusema Wayahudi hawawapendi Wakristo ndiyo sababu ni uongo mkubwa wa kihistoria.



3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
Nakupa shule ambayo madrasa huwezi kupewa

Papa au upapa ndio WAANZILISHI WA UISLAMU kupitia padre Waraq na Khadija ,lengo kuu toka zaman ni kuiteka Yerusalemu,

Uislamu baadae ulitumika pia kuangusha Dola ya Benzatine ambayo ilikuwa na mgogoro na Roma ya kipagani ya Vatican iliyotumika kuanzisha Uislamu

Lengo la UPAPA NA UISLAMU ni moja kuteka Yerusalemu

Wayahudi wanalijua hilo

Ndio maana mapapa wamekuwa wakitetea magaidi hasa waislamu na kuwatumia kuiteka Yerusalemu

Vikundi vingi vya ugaidi ni mkono wa JESUITS ambao ni hao hao Roman Catholic

Knights of Templar hiki kikundi kazi yake kuu ilikuwa kulinda na kuiteka Yerusalemu,ni kikundi ndani ya Roman Catholic

Kwahiyo Lengo la UPAPA ni kuiteka Yerusalemu,sawa sawa na Iran .

Uislamu unasimama kama mwanamke malaya kwenye hili

Maana USA na Israel wanawatumia hasa waislamu wakisunni kujilinda pale mashariki ya Kati

Huku papa akiwatumia waislamu wakishia na magaidi kutaka kuiteka Yerusalemu

UISLAMU UNATUMIKA KAMA KONDOMU TU

Uislamu ni mtoto wa pembeni wa UPAPA

 
Halafu inaonekana unafanya judgment ya kusema fulani ni muislamu na fulani ni mkristo kwa kuangalia majina.

Mbeya wapo wakina Sudi, Latifa, Zuberi, Mohamed, Abdallah ambao ni wakristo. Na pia wapo Kina Michael, Neema, Kelvin ambao ni waislamu.

Nadhani swala la kusm=ema fulani ni mkristo au Muislam lisiangaliwe tu kwa asili ya jina lake. Wengine ni Atheists usisahau hilo.
 
Hamis77,
Nafahamu mengi katika Uislamu na nimefika hadi Iran.

Halikadhalika nimefika nchi nyingi za Kiarabu na nimefika Marekani pia.

Katika mizunguko hii nimejifunza mengi.
Basi ungetambua kuwa Hii sio vita ya kidini kwanza Iran lengo lao jingine nyuma ya pazia ni kuiteka mecca na Madina
 
Watu8,
Sina tatizo na mtazamo wako.
 
Apo tu ndo kaharibu uzi
Lamborghini,
Nimetiwa mfano wa tatizo la Uislamu kwa mfano wa kufutwa majina ya Waislamu waasisi wa African Association katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nyote mmekuwa kimya.

Hamjaweza kueleza sababu ya kufutwa majina ya wazalendo hawa.

Naongeza mfano mwingine.
Baada ya kuundwa kwa African Association 1929 hawa Waislamu katika African Association wakaunda Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) 1933.

African Association na Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika pamoja vikawa vyama vilivyokuwa vilishirikiana katika kukabili ukoloni wa Muingereza.

Historia hii imefutwa inatajwa African Association peke tena bila majina ya wale waasisi ambao walikuwa tisa na sita Waislamu.

Hofu ya Uislamu.
 
Blue...
Nimeeleza fikra zangu.
 
Scars,
Hilo linawezekana lakini mimi nimetafiti historia hii na nimeandika kitabu hilo usemalo halipo.

Ndani ya TANU kulikuwa na masheikh wengi sana wakiongozwa na Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir.
 
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
Wabongo unaowazungumzia ni objective, hawazingatii mambo ya dini
 
Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) 1933.

African Association na Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika pamoja vikawa vyama vilivyokuwa vilishirikiana katika kukabili ukoloni wa Muingereza.
Duh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?

Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.

Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..


View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK
 

Umesahau kumtaja Sykes na kumlaumu Nyerere, mkuu 😁
 
Umesahau kumtaja Sykes na kumlaumu Nyerere, mkuu 😁
Bufa,
Haya ndiyo matokeo ya utafiti uliopelekea mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes.

Leo hii wewe unamtaja pamoja na Nyerere.

Kadi ya TANU ya Abdul Sykes ni No. 3, kadi No. 2 ni ya Ally Sykes na kadi No. 1 ni ya Territorial President Julius Kambarage Nyerere.

Hawa watu watatu ndiyo walikabidhiwa kukisajili chama.

Hapa kuna historia ya kusisimua.

Waingereza walikataa kuisajili TANU sababu Nyerere hakuwa na rejesta ya wanachama.

Abdul Sykes akamtuma Mzee Said Chamwenyewe Rufiji akaandikishe wanachama wa TANU katika Tariqa Quadiriyya iliyokuwa ikiongozwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir.

Wanachama walipatikana na mwezi November 1954 TANU ikasajiliwa.

Hii ndiyo historia ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere.
 
Anti
Antimatter,
Umepata wapi kuwa Al Jamiatul Islammiya ilikuwa na watu wachache?

Wapagani hawakuwako popote.

Kulikuwa na Wakristo hodari waliokuwa katika harakati mfano wa wanachama wa African Association: Joseph Mutahangarwa, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Michael Lugazia, Dr. Luciano Tsere na Dr. Vedasto Kyaruzi.

Hii ni 1950 na ndiyo mwaka TAA uongozi wake ukachukuliwa na vijana: President Dr. Kyaruzi na Secretary Abdulwahid Sykes.

Ikaundwa TAA Political Subcommittee: Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Kibwana Mwapachu, Abdulwahid Sykes, Steven Abdallah Mhando na John Rupia.

Historia hii imefutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…