Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mimi ningekua trump ninge angamiza mpaka sisimizi na kunguni woteeeeeee hapo Iran.KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
AntiDuh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?
Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.
Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..
View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK
Bezo,Hadi wazee mnakuwa mashabiki namna hii? Ni hatari sana mtu akiwa mlevi wa dini
Kwani saa hizi uislamu hauna heshima?Apo tu ndo kaharibu uzi
Ni kweli, Iran imepiga kambi za Marekani na vituo vya kijasusi vya Marekani na Israe siyo eneo jinginel. Ni kweli!Iran haipigi Waislam katika nchi za Kiislam bali inapiga vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi za Kiarabu.
Camerlengo,Kwani saa hizi uislamu hauna heshima?
Lakini mzee Mohamed kwa nini Irani inasema Israel na Marekani hawapaswi kuwepo duniani?Camerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Najaribu kuwaza kwa level ya ujinga wangu!Camerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Bezo,Lakini mzee Mohamed kwa nini Irani inasema Israel na Marekani hawapaswi kuwepo duniani?
Camerlengo,Najaribu kuwaza kwa level ya ujinga wangu!
Hivi kwa Nini Iran na mataifa mengine hayapigi kelele kwa kile kinachoendelea mauaji ya waislamu wa Sudan na kwingineko Afrika?
Niwekee video nijifunze mzee Said.Bezo,
Hata mimi sijui.
Labda ni historia ya Marekani ya kuanzisha vita, Laos, Cambodia, Vietnam nk. wakijua watu wasio na hatia pasi na sababu.
Mimi nimepata kuwaeleza haya Marekani uso kwa macho wakati natoa mada ya Ugaidi Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria.
Makubwa yalinifika.
Ikiwa utapenda kufahamu nifahamishe nikuwekee video.
Aisee!Camerlengo,
Suala la Sudan na kwengineko silijui vizuri.
Supendi mambo ya kushabikia vita. Uhalifu wa Israel kila mtu anaujua. Ubora wa Iran pia unajulikana na sidhani kama umetokana na uislam.KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
James,Supendi mambo ya kushabikia vita. Uhalifu wa Israel kila mtu anaujua. Ubora wa Iran pia unajulikana na sidhani kama umetokana na uislam.
Mbaya zaidi kuhusisha vita na dini it's bad. Maana kama ni dini Iran kapiga mpaka nchi ya mtume.
Hubiri amani
Mambo ya bara letu la afrika na majirani zetu hatufatilii, isipokuwa ya ulaya na mashariki ya mbali...!!?Camerlengo,
Suala la Sudan na kwengineko silijui vizuri.
Lakini mawahabi si wanasema Shia ni makafiri na uislamu wa shia sio na haufaiCamerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Huyu ni muislam sio shabiki hapa tunamjua Mzee huyu yeye anazungumzia zaidi uislam sio kushabikia Iran tu km Iran isingekua ya Waislam usingeona uliona akimzungumzia Madulo? HakunaInasikitisha sana kuna mpaka wazee tulio kuwa tunawaheshimu,ni mashabiki lia lia namna hii
bwashee nakuombea Mungu akufundishe kunyamaza"Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo."
Kumbe hii ni vita ya kidini? Wamatumbi bhna