Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
-
- #121
Yoso,Uhodari wa Iran ni upi wakati Israel imewaua zaidi ya viongozi 40 akiwemo Ayatollah Khomenei aliyekufa kiaibu kwa kufukuliwa ndani ya kifusi ? unawezaje kupambana na nchi inayokuzidi mbinu kwenye uwanja wa mapambano ujione una umahiri ?
People will die but nation cannot die ,if you know then you will fight to the bitter end.Uhodari wa Iran ni upi wakati Israel imewaua zaidi ya viongozi 40 akiwemo Ayatollah Khomenei aliyekufa kiaibu kwa kufukuliwa ndani ya kifusi ? unawezaje kupambana na nchi inayokuzidi mbinu kwenye uwanja wa mapambano ujione una umahiri ?
Nimekutafuta sana leo, ilibaki kidogo nikuanzishie uzi wako hapa.. Kula chuma hiko...Sifikiri kama vita ya kidini kabisa
Iran ameshinda !.KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Kumbe basi mzee mtapigwa sanaUislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Una madini mazuri sana sana sana mdau...KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Nigeria kaskazini wakristo wanauawa kila siku na wanamgambo wa kiislamu. Juzi hapa kuna shehe ameweka dau la naira milioni moja kwa muislam atakayeweza kumuua mchungaji ambaye amekashifu uislamu.Chizi Maarifa,
Pole kwa kumpoteza ndugu yako.
Sina haja ya hapa kujadili kuhusu Uislamu na Ugaidi kwani tutazidisha ubishi usio na maana.
Ushauri wangu kwako ni jaribu kuusoma Uislamu huenda ukashangaa kuona uko mbali mno na Ugaidi unaotangazwa na maadui wa Uislamu.
Ninayo mada niliwasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka wa 2006 naeleza suala hili ikiwa utaisoma huenda ikakuonyesha upande wa pili wa shilingi:
Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
Hivi mzee Mo unauhakika gani kuwa hao kina Sykes walikuwa waislamu?BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.
Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.
Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.
Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.
Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.
Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.
Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.
Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.
Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Tena walikuwa wala Nguruwe wazuri.Hivi mzee Mo unauhakika gani kuwa hao kina Sykes walikuwa waislamu?
Vipi ukiambiwa walikuwa wapagani
Iran ina technology gani inayoisaidia dunia au wewe binafsi?Mimi ni Muislam, na Dini naifahamu kabisaa, hivi vita ni vya kimaslahi ambapo Marekani anaionea wivu wa kimaendeleo IRAN hasa maendeleo ya ya kisayansi na teknolojia. Pia Marekani na Irael wataka kutawala Middle East na wanaogopa Domination ya Iran
Ndio hawapendezwi na Dola Imara ya Kiislam wa kishia iliyopo Iran ila sio sababu ya vita Sheikh
Mahdi hawezi kuja mpaka waislam watakapo waangamiza wayahudi. Siku ya kiyama hitafika mawe na miti iseme myahudi kujificha huku ili waislamu wawaue.Bezo,
Hata mimi sijui.
Labda ni historia ya Marekani ya kuanzisha vita, Laos, Cambodia, Vietnam nk. wakijua watu wasio na hatia pasi na sababu.
Mimi nimepata kuwaeleza haya Marekani uso kwa macho wakati natoa mada ya Ugaidi Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria.
Makubwa yalinifika.
Ikiwa utapenda kufahamu nifahamishe nikuwekee video.
Mpaka hapa umeshathibitisha kuwa ma abdol huwa hamna akili kweli yani shule hamna.Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
Nakfa,.Hivi mzee Mo unauhakika gani kuwa hao kina Sykes walikuwa waislamu?
Vipi ukiambiwa walikuwa wapagani
Watoto wa hao waasisi ni kina nani? Walio hai ama wamekufa kwa uchache mzeeNakfa,.
Hawa ni ndugu zangu nawajua.
Kleist Abdallah Sykes alikuwa Katibu muasisi wa Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) 1933.
Kleist alimuoa Bi. Mruguru bint Mussa mwanamke wa Kindengereko shoga wa bibi yangu Bi. Zena bint Farijala mwanamke wa Kimanyema.
Kleist Sykes alikuwa mjumbe wa Maulid Committee hadi kufa kwake 1949.
Nakta,Watoto wa hao waasisi ni kina nani? Walio hai ama wamekufa kwa uchache mzee
HawaNakta,
Watoto wa waasisi wa taasisi gani.
Ni heshima kubwa kujibiwa na wewe Mzee kwa umri wangu huu mdogo sanaaa.Nakta,
Watoto wa waasisi wa taasisi gani.