Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
-
- #141
Nakta,Ni heshima kubwa kujibiwa na wewe Mzee kwa umri wangu huu mdogo sanaaa.
Ila nashangazwa sana inawezekanaje ukawa na umri mkubwa kama wako mzee wangu na bado ukawa na fikra ambazo mimi binafsi naziona ni za mtu mjinga kama ambaye hajasoma n.k (samahani hili neno kwetu wakristo si tusi)
Ila wewe mzee wangu una elimu kubwa sana WHY?
Safi sana huyo mzee ni somi jinga gaidi.Ni heshima kubwa kujibiwa na wewe Mzee kwa umri wangu huu mdogo sanaaa.
Ila nashangazwa sana inawezekanaje ukawa na umri mkubwa kama wako mzee wangu na bado ukawa na fikra ambazo mimi binafsi naziona ni za mtu mjinga kama ambaye hajasoma n.k (samahani hili neno kwetu wakristo si tusi)
Ila wewe mzee wangu una elimu kubwa sana WHY?
Mohamed Said: KUTOKA JAMII FORUMS 2011: PITIO LA KITABU - MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES (1924 - 1968) KUTOKA JAMII FORUMS 2011: PITIO LA KITABU - MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES (1924 - 1968)Safi sana huyo mzee ni somi jinga gaidi.
Kwa elimu yote aliyonayo km alikua anasoma kweli au alihudhuria tu shule na kupiga Picha.
Mdini wa ajabu.
Safi sana huyo mzee ni somi jinga gaidi.
Kwa elimu yote aliyonayo km alikua anasoma kweli au alihudhuria tu shule na kupiga Picha.
Mdini wa ajabu.
Khanji...Mungu ataangamiza nchi za kigaidi tu km Iran ilivyofyekwa🤣🤣🤣
ISRAEL haiwezi angamia, ingawa imezungukwa na maadui walioapa kuifuta Israel, hilo halitawezekana kwa sababu mtaji wa Israel ni "human brain" kitu ambacho maadui zake hawanaKIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
DR VRM,ISRAEL haiwezi angamia, ingawa imezungukwa na maadui walioapa kuifuta Israel, hilo halitawezekana kwa sababu mtaji wa Israel ni "human brain" kitu ambacho maadui zake hawana
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/978020764595208
DR VRM,
Ungezungumza kuhusu kibri cha Israel na madhara yake kwake yenyewe na ulimwenguni ingekuwa bora ziadi.
Hali ya wananchi wa Israel hivi sasa ni ya mashaka sana.
Israel haijazoea vita vya muda mrefu kwa sababu zilizo wazi.
Tusubiri.
Mzee Wakristo wako wengi tu walioshiriki harakati za uhuru , zaidi ya 20.BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.
Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.
Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.
Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.
Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.
Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.
Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.
Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.
Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Yoda,Mzee Wakristo wako wengi tu walioshiriki harakati za uhuru , zaidi ya 20.
Sasa mbona hata kwenye hiyo historia unayodai imepotoshwa hao wakristo hawakutajwa?BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.
Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.
Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.
Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.
Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.
Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.
Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.
Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.
Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Mnachihanguuu,Sasa mbona hata kwenye hiyo historia unayodai imepotoshwa hao wakristo hawakutajwa?
Na mimi utanisamehe kwa kuendeleza hiyo kauli ya mdau hapo juu kuhusu wewe kuwa mjinga,si unajua lakini kwamba hata mtu mjinga kuna wakati hupewa airtime ili watu/jamii au kikundi fulani kiujue ujinga wake ulikoegemea?Nakta,
Sishangai wewe kuniita mimi mtu mjinga kwani kipimo chako ndicho kilichokuelekeza huko.
Lakini nakusihi utumie kipimo hicho chako kuwapima wasomi hawa: John Iliffe (Cambridge University), Jonathan Glassman (Northwestern University)na James Brennan (University of Champagne) na Kai Kresse (Zentrum Moderner Orient)ambao mimi nimepata kujadilinao historia ya Tanzania ndani ya journals za kisomi na pia kwenye vyuo vyao kwa kualikwa.
Ukiitwa mdini mzee unakataa wacha iendelee kunyesha tuone panapovuja.Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Sasa ndio hoja yangu ni kwamba unadai historia imepotoshwa kisa majina ya kiislamu ila chakushangaza hata hao wakristo wakina dome okochi nao hawatajwi pamoja kwamba ni wakristo sasa hauoni kwamba madai yako hayana msingi?Mnachihanguuu,
Kama una kitabu cha Abdul Sykes fungua Name Index.
Utamsoma John Rupia, Steven na Peter Mhando ndugu wawili, Dr. Kyaruzi, Dr. Tsere, Dr. Mutahangarwa, Joseph Kimalando, Joseph Kasella Bantu, Alexander Tobias, Dome Okochi Budohi, kwa kuwataja wachache.
Nukta,Ukiitwa mdini mzee unakataa wacha iendelee kunyesha tuone panapovuja.