Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba Day kitakachofanyika kesho.
Soma zaidi: Dili la Ulaya sababu za Kibu Denis Kutoonekana kambini