Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wa Simba mbumbu tena sasa naamini lile saga walikua wamemruhusu kuna usanii walikua wanacheza. Hii timu kwasasa haiwezi kutoka ilipo maana imejaza matapeli na watu wasiojua nini wanafanya.Kwanini Simba inamg'ang'ania mchezaji anayetafuta maslahi bora ulaya?
Kama si uchawi hiki ni nini? Walichopaswa kufanya Simba ni kusubiri ada ya uhamisho.