Kwanini Simba inamg'ang'ania mchezaji anayetafuta maslahi bora ulaya?
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba Day kitakachofanyika kesho
Haijamg'ang'ania, yeye wala timu inayomtaka haikufika dau kulingana na makubaliano ya mkataba.Kwanini Simba inamg'ang'ania mchezaji anayetafuta maslahi bora ulaya?
Kama si uchawi hiki ni nini? Walichopaswa kufanya Simba ni kusubiri ada ya uhamisho.
Hakuna shida mkuu. Nina imani huko alikokuwa pia alikuwa anafanya mazoezi
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba Day kitakachofanyika kesho
Umemnunua wewe?Kwanini Simba inamg'ang'ania mchezaji anayetafuta maslahi bora ulaya?
Kama si uchawi hiki ni nini? Walichopaswa kufanya Simba ni kusubiri ada ya uhamisho.
Mashabiki wa Simba wakashikiwa Akili eti katoroka.
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba Day kitakachofanyika kesho
Anezimgua sana Kibu,Angepata baraka za uongozi isingekua shida,ila kujiamulia na kuondoka ni hovyo kabisa.Timu ina mengi ya kurebisha.Hili ni la kuonea huruma tu. Muwe mnapata ushauri kwetu sisi wasomi kabla ya kukurupuka
Kwani unaelewa nini kuhusu sakata la Kibu?Kwanini Simba inamg'ang'ania mchezaji anayetafuta maslahi bora ulaya?
Kama si uchawi hiki ni nini? Walichopaswa kufanya Simba ni kusubiri ada ya uhamisho.
Agongwe adhabu moja mujarabu. Mtu unajua una mkataba na una terms fulani halaf bado unaenda kinyume unprofessional ways
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba Day kitakachofanyika kesho
Nlisikia watampa adhab.
Ligi nzima goli moja sasa huyo mkandaji au anakandwa?Mkandaji karejea, watu matumbo joto...mbio za kwenda na kurudi chooni haziishi.