Viongozi wa Simba mbumbu tena sasa naamini lile saga walikua wamemruhusu kuna usanii walikua wanacheza. Hii timu kwasasa haiwezi kutoka ilipo maana imejaza matapeli na watu wasiojua nini wanafanya.
NB:Naombea utopolo watuchabange goli za kitosha kwa ujinga wa simba.