Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
EXCLUSIVE; Mshambuliaji Kibu Denis Prosper amerudisha pesa zote ambazo alilipwa na klabu yake kama Signing Fees pamoja na mshahara wa mwezi mmoja kwenye Account ya Simba NMB.
Kibu Denis Prosper ambaye kwa sasa yupo nchini Sweden kwa mapumziko, Taarifa za ndani kabisa kuna timu kutoka hapa Tanzania ipo mbioni kumalizana naye kabla dirisha la usajili kufungwa mwezi ujao.
NB;UBAYA UBWELA TU.