balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Una uhakika?Kibu ana mkataba halali na simba. Kuvunja mkataba lazima mkae meza moja mkubaliane sio wewe kuamua tu kuvunja. Kibu hana dharura kwa sasa, wakala wake wa hapa Tanzania kathibitisha kuwa kadanganywa na huyo wakala wa ulaya.