Duu bora kama karudisha pesa... [emoji599] 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗
Kibu Denis amerudisha pesa zote za signing fee pamoja na mshahara wa mwezi mmoja (1) alizopewa na Simba SC kupitia Bank ya NMB kwenye account ya Simba Sports.
[emoji3482] Kibu Denis Prosper 'Mkandaji' yuko Nchini Norway kwa ajili ya mapumziko
"Sisi tunamtambua Kibu Denis kuwa bado ni mchezaji wetu, mchezaji wetu mtoro. Simba tulitimiza wajibu wetu kwa asilimia 100%, nasema haya ili kila mwanasimba ajue"
[emoji2399] Ahmed Ally - Morogoro
So did feyzal salum, and you were happy "abauri't" 😁😁Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukiridisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Huu uhuni ulianzia kwa Fei watu wakamsapoti, ngoja uendeleeMpira wa bongo wa kiboya sana
Tatizo kubwa tulilo nalo kama nchi ni UJINGA.Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukiridisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Kuna sheria za kufata.Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukiridisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Kama kafata sheria hana tatizo, kama hajafata sheria asifikiri atakuwa na bahati ya kuombewa na Rais kama ilivyotokea kwa Feitoto.Kuna sheria za kufata.
Kapata dharula,(changamoto) akiwa likizo ameamua kurudisha pesa ili watafute mchezaji mwingine kabla ya dirisha kufungwa, je kafanya vibaya?Kuna sheria za kufata.
Unaongea kama wakili Msomi kabisaa,nimependa hii.Kama kafata sheria hana tatizo, kama hajafata sheria asifikiri atakuwa na bahati ya kuombewa na Rais kama ilivyotokea kwa Feitoto.
Kibu ana mkataba halali na simba. Kuvunja mkataba lazima mkae meza moja mkubaliane sio wewe kuamua tu kuvunja. Kibu hana dharura kwa sasa, wakala wake wa hapa Tanzania kathibitisha kuwa kadanganywa na huyo wakala wa ulaya.Kapata dharula,(changamoto) akiwa likizo ameamua kuridhisha pesa ili watafute mchezaji mwingine kabla ya dirisha kufingwa, je kafanya vibaya?