Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Hii ilianza kwa Feisal, wachezaji walipoona Feisal kafanikiwa basi imekuwa ndiyo style yao hiyo.
Sidhani kama Faisal alifanikiwa. Angefata sheria angekuwa mbali zaidi.

Ni wajinga tu.
 
Simba na yanga kweli hakuna watu wa mpira yaani kibu denis ni wakugombaniwa kweli kwa mpira gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…