Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

sisi yanga tulikataa msishadadie alichofanya Fei coz tuliona mbali sana ona sasa yamewakuta yale yale kwanini msiwe wapole?
Kujua mchezaji kafanya makosa mpaka uwe Simba au Yanga mbona unajichanganya mkuu mimi ni Yanga mpira naujua toka enzi za kina Hamis Tobias Gagalino kwa hiyo sina unazi kwenye kusema ukweli..
 
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Ndo hapo chacha ujinga mzigo mzito sana. Bibie za siku nataka nije unifunze Quran
 
We mwehu, mara ya kwanza mmesema yuko kwenye majaribio, leo mnasema yuko.mapumzikoni.
 
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Hii ilianza kwa Feisal, wachezaji walipoona Feisal kafanikiwa basi imekuwa ndiyo style yao hiyo.
 
Hela za Mkataba zinarudi bila makubaliano mengine tena..hawa jamaa nani anawadanganya kufanya hivi kama kweli atakua karudisha hela bila kukaa mezani kafanya mambo ya kiboya sana..
Hii ilianza kwa Feisal, wachezaji walipoona Feisal kafanikiwa basi imekuwa ndiyo style yao hiyo.
 
Back
Top Bottom