Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Nadhani ukosefu wa Elimu unachangia sana. Yaani kama ingekuwa hivi sijui kama kuna taasisi zingekuwepo hapa Duniani. Sijajua nani anamdanganya na kwa manufaa gani. Hii tabia ikiendelea ni hatari sana kwa soka letu. Kwamba mchezaji akijisikia tu anarudisha pesa analala mbele? Tutafika kweli?
Kama mkataba wake unaruhusu kufanya hivyo hakuna tatizo hata kidogo.

Ndio hapo club zijifunze kuandika mikataba ambayo inasema wazi mtu akitaka kuvunja mkataba anafanya nini
 
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba, ambacho kinahusisha pesa ndefu, bdio anayolazimika kuilipa kwa sasa sio hiyo aliyolipwa awali.
 
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Shangazi, nakumbuka kwa Feisal na yanga ulikua upande wa Feisal,hukuuliza ikiwa yanga walinunua visheti kwa Feisal
 
Hebu acheni ubwege basi hata kama umempa mtu dunia yote peke yake,akaja bwege akampa dunia na sayari zake....atakutorokaaaaa.......tuuuuuu,!

Mnalazimisha mtu????Huo ni ubwegeeeeeeeeeee!Achaninae aendeeee.........na mbaki na pisi kavu za njirooooo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ndo key player pale ukoloni
 
Shangazi, nakumbuka kwa Feisal na yanga ulikua upande wa Feisal,hukuuliza ikiwa yanga walinunua visheti kwa Feisal
Hata Feisal niliuliza sababu zake na kanuni za soka zinasemaje.

Kumbuka mimi ni Muislam nafundishwa haki daima siyo porojo. Hata hili la kibu kama umenisoma juu huko nimeuliza sheria ziko vipi, au umekurupuka bila kuusoma uzi?
 
Back
Top Bottom