Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Kibu ana mkataba halali na simba. Kuvunja mkataba lazima mkae meza moja mkubaliane sio wewe kuamua tu kuvunja. Kibu hana dharura kwa sasa, wakala wake wa hapa Tanzania kathibitisha kuwa kadanganywa na huyo wakala wa ulaya.
Una uhakika?
 
Tukishaanza kumg'ang'ania tu itakuwa kama Fei. Ila tukiweka wazi kuwa pesa aliyoweka haitoshi na inayotosha ni kiasi gani haiwezi kufanana na ya Fei.
Sasa kuna tofauti gani? Yaani wewe unaona utofauti,haya sisi ni watizamaji kama kipindi kile cha Fei mlivyo kuwa mkitutizama.
 
Huu uhuni unapaswa kukomeshwa. Haiwezekani mchezaji ajiamrie kuishi Kwa kuendesha taasisi. Hebu Kibu awe mfano.
 
Utofauti utakuwepo iwapo tutamng'ang'ania ila tukifanya kama Azam kusema dau la kulipwa tutakuwa kama Azam.
Unachekesha, sasa Azam na Yanga kuna tofauti gani?

Kwa hiyo ww Kibu aachwe baada ya kurejesha hela,tena kasaini ila yy ndiye ana amri.Mbona na ww una mitizamo ya kihuni.

Okay sawa kwa mshamalizana na Kibu........kwa style hiyo.
 
Unachekesha, sasa Azam na Yanga kuna tofauti gani?

Kwa hiyo ww Kibu aachwe baada ya kurejesha hela,tena kasaini ila yy ndiye ana amri.Mbonana ww una mitizamo ya kihuni.
Anaruhusiwa kuweka pesa aondoke hata usipocheka. Ilimradi isiwe nje ya makubaliano.
 
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Kwa feitoto hamkuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…