Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Acha awaonyeshe maana mlipiga filimbi nyingi wakati tunaongelea suala la fei toto kuwa litakuja kuleta shida mbele ya safari, Sasa kimewakuta na yeye karudisha Kama alivyojisikia kwaiyo mumruhusu aondoke akatafute maisha Kama mlivyokuwa mnamwambia feisal
 
Chura source yako kwanza haieleweki, sijui umeokota wapi hicho kipande cha habari ukaweka hapa.

Pili, hata kama Kibu akienda kwa vyura, nalo sio tatizo, hakuna mchezaji anayeizidi klabu ukubwa.

Tatu, Sumba Shc ninayoifahamu mimi haijawahi kuwa mbumbumbu wa kuingia mikataba na wachezaji wake kama vyura Fc, hii taarifa kama ni kweli Kibu naona hataki kucheza mpira tena.
 
Sahihi mkuu....makolo mwaka huu wameyatimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…