Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Wachezaji wa kibongo wanajichafua sana, hawana tofauti na wakongo. Sheria ingebadilishwa timu iweze kusajili hta 100% wawe wachezaji wa kigeni.
 
Hawatakuelewa
 
Basi ni wahuni
 
Una uhakika?
Ndio.
Management inayomsimamia Kibu imethibitisha. Wakala amesema kibu kalipwa pesa zake zote, na amesaini mkataba halali. Management imetoa ushirikiano kwa Simba kwa sababu wana mkataba nayo kusimamia maslahi ya Kibu.
Baada ya kuthibitishiwa kuwa hata wakala hajui mchezaji yuko wapi, ndipo Simba wakatoa taarifa kwa uma.

Lakini Kibu yuko Ulaya na host wake ni Carlos ambae ni wakala wake kwa maslahi ya nje ya nchi. In short Kibu katoroshwa na Carlos ili wakajadiliane na hiyo timu inayomtaka, then wakishajua ofa, waje kuongea na Simba.
 
Kibu ana mkataba halali na simba. Kuvunja mkataba lazima mkae meza moja mkubaliane sio wewe kuamua tu kuvunja. Kibu hana dharura kwa sasa, wakala wake wa hapa Tanzania kathibitisha kuwa kadanganywa na huyo wakala wa ulaya.
Mipango yote imeanizia hapa na msukaji ni Hersi Said.
 
Utofauti utakuwepo iwapo tutamng'ang'ania ila tukifanya kama Azam kusema dau la kulipwa tutakuwa kama Azam.
Kulingana na maelezo yenu ya awali (refer suala la Fei), ameshatimiza kwa kuwarudishia hela yenu yote na mshahara wa mwezi mmoja. The same same kama Fei. Hivyo, mapaswa kumwacha aendelee na utaratibu mwingine kama mlivyosema kwa Fei.
 
Unaweza ukarudisha hela na bado ukawa hujakidhi vigezo vya kuvunja mkataba , vigezo vya kuvunja mkataba huwa inawekwa pesa nyingine tofauti kabisa na ya usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…