Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

Kichwa cha kibu kina balaa hatari

Hongera kwake kajitahidi sana
Anamoyo wa kupambana
 
Malalamiko fc wao wamejaza vikongwe kwenye timu yao wamebaki na hasira tu🤣🤣😤
 
Wachezi wazawa Kibu, Kagoma na Uwesu jana wamepambana sana.

Mechi zijazo kama Shabalala anaanza basi Nouma acheze winga wa kushoto.

Nouma anapambana sana na hatakiwi kuanzia benchi.
 
Back
Top Bottom