Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama rasta, wengi hawana ukiwemo weweHuyu mchezaji anapewa muda wa kutosha
hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli
Mwisho kabisa hatuoni akifunga
Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
Kama alivyo mama yako.Cha ziada alicho nacho ni kutokuwa na akili
Huyu mchezaji makocha wengi wanampendea purukushani zake tu. Yaani muda wote yeye ni kukimbia tu kama nyumbu huku akiwa ameangalia chini!Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha.
hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli.
Mwisho kabisa hatuoni akifunga.
Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
warthog styleHuyu mchezaji makocha wengi wanampendea purukushani zake tu. Yaani muda wote yeye ni kukimbia tu kama nyumbu huku akiwa ameangalia chini!
Huwa hajioneagi huruma!! Yeye hata sehemu ya hatari, ataingia mazima ili tu achezewe rafu!!
Sio na yeye ni sehemu ya udhaifu ?Kibu ndiye mchezaji anaebebeshwa mzigo wa udhaifu wetu.
Kuwa na heshima kwa mkandaji, Kibu akija Yanga Pacome na Aziz K inabidi wampishe acheze namba zao. Atacheza mwenyewe namba zote.Sio na yeye ni sehemu ya udhaifu ?
Ana energy ambayo inasaidia kupush timu.mikimbio mizuri