Kibu Denis ana kitu gani cha maana ambacho sisi mashabiki hatukioni?

No offence ila wabongo mkikaririshwa kitu kinakuwa kama wimbo. Siku hizi mpo na goals & assists.

Haya tufanye Bruno Fernandez ni bora kuliko Zinedine Zidane kwa sababu ana magoli na assists kumshinda.

Mpira una njia zake na Kibu Denis anapita nazo kama alivyopokea maelekezo kutoka kwa kocha. Anaweza asifunge au asitoe pasi ya goli ila anaweza kuwa sababu move ya goli ilianza baada ya kuangushwa na mabeki wa timu pinzani baada ya kuhold mpira kama ilivyotokea leo.
 
Huyu mchezaji makocha wengi wanampendea purukushani zake tu. Yaani muda wote yeye ni kukimbia tu kama nyumbu huku akiwa ameangalia chini!
Huwa hajioneagi huruma!! Yeye hata sehemu ya hatari, ataingia mazima ili tu achezewe rafu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…