Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka

Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka

Mbona fei toto hakulaaniwa. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha mfyuuu
 
Hili somo wana simba ilikuwa mjifunze wakati wa ishu ya Fei ila mkatanguliza ushabiki mbele mkaacha kanuni za soka nyuma.

Sasa unaposema watu wakemee bila kujali ni shabiki wa timu gani unakuwa na maana gani?
 
Na ndiyo hiyo hiyo iliwafanya mumtamani hadi kumuingiza chaka mrundi wa watu, watu wabaya sana nyie sasa mnamcheka ujinga tu.
Ujinga ni kushangilia kwenye mkutano mkuu wa timu propaganda badala ya kujadili mambo ya msingi,haya next season mkiwa wa nne msilie lie,Sijui Mwamedi sijui Ngugo boy....mtulie
 
Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba.

Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa, wakampania katika changamoto alizozipitia, wakampa nafasi lakini hakuwapa chochote cha maana zaidi ya kuifunga Yanga, Simba wakasimama naye, wakamuimba na akaimbika.

Striker, aliyeimbwa na kutegemewa na akapewa kila mechi lakini mwisho wa akaumaliza msimu kwa kuifungia Simba goli moja tu, lakini bado Simba waliendelea kumuamini, wakamuimba, wakawa tayari kumrekebishia maslahi yake, lakini akawaanzishia vituko vya kipumbavu kabisa na meishowe akawatoroka.

Mpira wa Tanzania unazidi kukua na kupewa heshima, kadili unavyokua inapaswa wachezaji wajifunze sana kuhusu elimu ya mikataba, pia wajitambue kuwa wao ni wadau muhimu sana na upumbavu wao unaligharimu soka la Tanzania pakubwa na huenda ikapelekea lirudi likikokuwa.

Simba inafahamika kwa jinsi ilivyo na ushirikiano pale wachezaji wake wanapopata malisho mapya nje, huwa haiwang’ang’anii. Kuna wakati Simba huonekana kama Soca Academy badala ya Professional footbal club sababu tu wakati wowote wachezaji wake wakionekana huwa ipo tayari kuhatarisha mipsngo yake na kuruhusu wachezaji kuindoka.

Angekiwa ni Chama amewafanyia haya ningemuelewa, lakini siyo Kibu Denis.

Soma=> Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
Apewe nafasi nyingine
 
Ujinga ni kushangilia kwenye mkutano mkuu wa timu propaganda badala ya kujadili mambo ya msingi,haya next season mkiwa wa nne msilie lie,Sijui Mwamedi sijui Ngugo boy....mtulie
Tutavuka daraja tukilifilia mambo ya ramli bakini nayo huko kwenye pori la utopolo.
 
Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba.

Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa, wakampambania katika changamoto alizozipitia, wakampa nafasi lakini hakuwapa chochote cha maana zaidi ya kuifunga Yanga, Simba wakasimama naye, wakamuimba na akaimbika.

Striker, aliyeimbwa na kutegemewa na akapewa kila mechi lakini mwisho akaumaliza msimu kwa kuifungia Simba goli moja tu, lakini bado Simba waliendelea kumuamini, wakamuimba, wakawa tayari kumrekebishia maslahi yake, lakini akawaanzishia vituko vya kipumbavu kabisa na mwishowe akawatoroka.

Mpira wa Tanzania unazidi kukua na kupewa heshima, kadili unavyokua inapaswa wachezaji wajifunze sana kuhusu elimu ya mikataba, pia wajitambue kuwa wao ni wadau muhimu sana na upumbavu wao unaligharimu soka la Tanzania pakubwa na huenda ikapelekea lirudi likikokuwa.

Simba inafahamika kwa jinsi ilivyo na ushirikiano pale wachezaji wake wanapopata malisho mapya nje, huwa haiwang’ang’anii. Kuna wakati Simba huonekana kama Soca Academy badala ya Professional footbal club sababu tu wakati wowote wachezaji wake wakionekana huko nje huwa ipo tayari kuhatarisha mipango yake na kuruhusu wachezaji kuondoka.

Angekuwa ni Chama amewafanyia haya ningemuelewa, lakini siyo Kibu Denis.

Soma=> Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
kwanini alaaniwe jamani ??kosa lake ni lipi?? kama mtu hawataki kwanini mnamlazimishaaa?? muacheni kijana wawatu
 
Back
Top Bottom