Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker

Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili

Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta

Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu

Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
 
Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Hata mimi nimeyasema hayo kwenye uzi wa update wa mechi ya leo

Ila hatuna namna
 
Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker

Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili...
Gape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
 
Mi sipendi kuwakatisha tamaa wachezaji ila kwakweli kibu kama hajifunzi ni bora apumzike.
 
Uwezo wa Kibu ndio umeishia hapo.
Dilisha dogo tunawaomba wadau wa

Simba mtuletee Lusajo wa Namungo anaonesha mambo stahiki sana uwanjani.
Kumzidi hata huyo Manzoki wenu.
 
Back
Top Bottom