Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu