Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Kama ilivyokuwa TOTO ya Mwanza! Kazi yake ilikuwa kumpa Yanga pointi 6, na kisha kumng'ang'ania Simba apoteze pointi kupitia kwao!
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Winga teleza jana, leo hana jema?

Kazi ipo
 
Wachezaji hewa

Bocco
Banda
Okwa
Kibu
Mkude
Nyoni
Kakolanya
 
Mzazi wa Kibu Denis unaombwa kufika makao makuu ya Lunyasi ukiwa na mwanao,haraka iwezekanavyo.

Sababu ya wito huu utaikuta huku huku, japo hadi muda huu utakuwa unaijua.
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Aheri hata ya Sarpong au Yikpe
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Jamaa msumari umekubali kwelikweli
Asaidiwe mapema
 
Ninyi ndio mnampa pressure mchezaji wenu....! Mpeni muda huenda kuna vitu anapitia nje ya uwanja, si wachezaji wote wanaweza kuhimili mambo ya nje ya uwanja... [emoji172][emoji169][emoji91] Mateso yenu sisi kwetu Shangwe
 
Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker

Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili

Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta

Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu

Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Kila mmoja ashinde mechi zake kwa manufaa yake kama mnataka kupunguza gap la point na uyo mpinzani wenu wakati mzuri ni kumfunga nyie wenyewe mtakapokutana
 
Gape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Yanga ana mechi mbili mkononi akishinda zote anakuacha point 5
 
Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Mpira haupo ivyo
 
Ifike hatua mkubali kwamba yanga ana quality players na kikosi kipana na pia ana mentality ya ushindi kikubwa zaidi anaweza kushinda hata siku ambayo akucheza vizuri wapinzani nao wanaingia uwanjani kusaka point lakini mwisho wa siku quality na mentality ya wachezaji inaamua matokeo kama yanga inafungika kirahisi na hawa wapinzani wanagawa point makusudi kwa yanga basi nyie onesheni mfano wa kumfunga uyo yanga mtakapokutana
 
Back
Top Bottom