William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza.
Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto.
Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo.
Viongozi simba hawakuangalia hilo waliweka mzigo tu wakajua tayari.
Sasa anatumbua tu fedha marekani mpaka zipungue ndio akumbuke kazi. Anachokifanya kibu ndicho kilichomkuta mwampamba wa Big brothers. Yeye m 100 tu akaamia kwa wema Sepetu.
Au Idrisa Sultan unaambiwa kati ya m 200 alizoshinda big Brothers Aliishia kufahamu tu matumizi ya milion Tano za mwisho hahaah.
Kibu ni wa kumuonea huruma ata dili la ulaya uyo hataenda mpaka mzigo ukate.
Wacheza soka wote wakubwa wanaopokea mabilion kama Ronaldo, Mbape, Hakim bado wako monitad ama na mama Zao au wazazi wote wawili. Ela zinachanganya bana.
Watu wanastafu wanapata m 60 tu wanaenda kuoa ka binti ka miaka 16 au 21. Ela isikia tu jamani.