Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.

"Katika malengo yetu msimu huu moja
ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu, kwa nguvu ya timu yetu saivi na upambanaji wa wachezaji wenzangu mwanga upo wa kuona tunaweza kuchukua ubingwa wa CAF."

"Kwa Simba SC hatuna mechi ya nyumbani wala ugenini mechi zote tunahakikisha tunaweza kupata matokeo mazuri iwe sare au kushinda."


Soma: Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien
 
Back
Top Bottom