Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.
Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu...
Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza.
Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi...
Tanzania imetwaa ubingwa wa wavulana katika mashindano ya CAF Schools Football Championship baada ya kuifunga Senegal katika pambano la kusisimua lililoamuliwa kwa mikwaju ya penalti.
Licha ya mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa Michezo wa Chuo Kikuu cha Ghana, timu zote zilionyesha...
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.
"Katika malengo yetu msimu huu moja
ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.