Nalazimika kutaja mapema yale makosa niliyosema ambayo yanaweza kuinyima Simba ubingwa wa CAF Shirikisho

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.

Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu wenye jicho la tatu yapo ama la.

Uzi wa mwanzo ni huu hapa.
Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza.

Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC, wapenzi na mashabiki wa Simba tuna matarajio makubwa katika fainali hii ili kombe hili libaki Tanzania.

Bila kusema mengi, pamoja na kwamba hata mchezo mmoja wa fainali bado haujachezwa ila kuna makosa mawili makubwa ya kiufundi yamefanyika ambayo kuna uwezekano yakaenda kuigharimu Simba katika harakati zake za ubingwa huu wa CAFCC.

Nitahifadhi na nisingependa kutaja hayo makosa waziwazi kwa wakati huu ili yasije yakazua mijadala ambayo kwa kipindi hiki haina faida sana.

Kwa bahati mbaya moja kati ya makosa haya, klabu haipo kwenye nafasi ya kulirekebisha ila moja lipo ndani ya uwezo wa klabu kama utashi wa kulifanyia kazi utakuwepo. Shida ni kwamba sioni hata kama kuna mtu ndani ya klabu amelitilia maanani au ameona umuhimu wake kwa hiyo najua hili nalo halitafanyiwa kazi na ndiyo maana yananitia wasiwasi. Najua hata nikijaribu kulipenyeza kwa uongozi hawatanielewa au kutaka kulifanyia kazi.

Iwapo Simba itakosa ubingwa wa CAFCC, nitarudi katika uzi huu nitaje hizo sababu mbili kuu.

Nimalizie kwa kusema, nafasi ya Simba kuwa bingwa wa CAFCC msimu huu bado ni kubwa sana na dua na maombi ya wanasimba wote yanaelekezwa katika kufanikisha hilo.

Ukitaka kujua najua ninachoongea, niliwahi kusema hawa Berkane inabidi kina Mavambo, Nouma na Okejepha wapewe nafasi mbele ya Ngoma na Zimbwe. Tuliona jana walilazimika kuingia na leo hii baada ya mechi watu wanasema kitu hiko hiko.
Berkane watatulia tu mbele ya mnyama. Wana wachezaji vijana, Fadlu ajiandae kuwapumzisha Zimbwe na Ngoma. Hizo mechi zitawahitaji Nouma, Okejepha na Mavambo. Itakuwa fainali bora sana labda kuzidi hata ya CAFCL.

Turudi sasa katika yale makosa niliyokuwa nayazungumzia.

Kosa la kwanza ni kuelemewa na shinikizo la kisiasa na kushindwa kumuenzi ipasavyo Prof. Philemon Sarungi. Huyu mzee alikuwa Simba kindakindaki na hadi alipewa tuzo ya heshima ila kutokana na mambo ya kisiasa na wanasiasa kujipenyeza katika timu hasa kipindi hiki, naona kama kuna jambo halikwenda sawa. Ili Simba itwae kombe hili, ni lazima ndani ya kipindi hiki wafanye jambo la heshima kumuenzi Sarungi na liwe kwa ukubwa na uwazi unaostahili.

Pili, ni jezi. Hili haikuwa sehemu ya yale makosa mawili niliyoongea juzi ila nimeona nilipe kipaumbele maana niliwahi kuliongelea katika mashindano ya AFL.

Good morning ladies and gentlemen,

Jana nilipata nafasi ya kuangalia boli la AFL. Sina mengi ya kusema maana nimepumzika kuongelea sana kuhusu mambo ya mpira huku mitandaoni ila nina maswali mawili.

Kuna ishara ya vidoli viwili kwa kila mkono ambavyo wachezaji wa Al Ahly waliifanya baada ya kufunga goli la kwanza la kutangulia na ni ishara hiyo hiyo waliirudia baada ya kurudisha goli la pili. Ile ishara ina tafsiri gani?

Pili, nani alitoa ushauri kuweka katika jezi za Simba zilizozinduliwa kwa ajili ya AFL maneno "Simba vs Al Ahly"? Katika maisha yangu hapa duniani sijawahi kuona timu ya mpira inacheza mechi ya kiushindani halafu katika jezi ikaweka jina la timu pinzani.

Jezi zilivyozinduliwa nililiona hili nikasema ngoja nisubiri hadi nitakapoona jezi za Al Ahly zilivyo maana inawezekana timu zote zitavaa design hizo. Kwa ajili ya washabiki siyo mbaya kutoa jezi za namna hiyo kama kumbukumbu ingawa nayo inaleta maswali, Simba haikuwa inaamini ina uwezo wa kuvuka hatua hii hadi kutoa jezi za mechi moja.

Kauli zadhaa za hivi karibuni za Mwenyekiti Salum zilikuwa zinaonyesha haamini Simba itavuka hatua hii. Kiufupi jezi za wachezaji zisingeitaja Al Ahly, ingetosha tu kusema "African Football League 2023".

Mengine nayaacha kama yalivyo. Kuna uzi niliwahi kuuleta hapa kuna jambo umenikumbusha ila ngoja niuache.
Kuweka jezi ya timu pinzani katika jezi yako ni kujipunguzia baraka. Kipindi kile nilishauri hizo jezi ziwe kwa ajili ya mashabiki tu ila wachezaji wasizivae au ikibidi sana basi zionyeshe tu tarehe na fainali ya CAFCC ila timu pinzani isitajwe. Nakuhakikishia Simba ikivaa tena jezi za namna hiyo katika mechi ya pili ambazo zinaitaja Berkane, itafungwa tena.

Jambo nililoliacha ambalo katika sababu za kwanza lilikuwepo na bado naamini linaleta ugumu kwa Simba ni mlolongo na uhusika wa wanasiasa katika maandalizi ya timu. Nimeshaongelea sana suala la ndege, nimeshaongelea sana suala la kubeba mashabiki wazee ambao siyo washangiliaji walioambatana na timu. Nitawaacha wenyewe mfanye tathmini kama hayo ya ndege na mashabiki yalikuwa na tija ama la. Ila kuna hili la mlolongo wa hotuba kwa wachezaji. Hivi MwanaFa ana nini cha ziada kuwaambia wachezaji baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ambacho hawakijui zaidi ya kuwaongezea tu pressure na kuwachosha? Mbaya zaidi mnaongea nao kiswahili kwa hiyo nusu ya wachezaji hawajui hata mnawaambia nini. Makosa yanayojirudia na hatujifunzi kwa makosa hayo.

Huwa nasema, kama Serikali inadhani ina uwezo wa kuiletea timu mafanikio mbona miaka nenda rudi timu ya taifa haifanyi vizuri? Mbona timu za serikali kama JKT, Mashujaa, KMC, Prisons, nk. hazifanyi vizuri? Hata hili la kutumia bendera ya taifa kwenye mechi za vilabu ni kosa na halina tafsiri nzuri na linaweza kuwa linaathiri ufanisi wa wachezaji wa kigeni. Sijui watu wanakosa uwezo wa kufikiri au ni mihemko tu. Tusitumie mpira kutafuta umaarufu wa bure bure, kuficha maovu na/au kama chaka la kuwapotezea watu umakini wa kufuatilia mambo mengine muhimu kwa taifa lao.

Sasa hivi mnahaha kuhusu uwanja wa Mkapa. Wakati tunapiga kelele kwa miaka 2 mlituona hatuna cha maana tunachoongea, sasa hivi mnatafuta pa kuficha sura zenu.

Nadhani sasa nimeeleweka. Kazi kwenu kuamua kuyafanyia haya kazi au kuyapuuzia. Einstein aliwahi kusema "Ukichaa ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti". Naomba tutoke kwenye ukichaa.
 
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.

Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu wenye jicho la tatu yapo ama la.

Uzi wa mwanzo ni huu hapa.

Ukitaka kujua najua ninachoongea, niliwahi kusema hawa Berkane inabidi kina Mavambo, Nouma na Okejepha wapewe nafasi mbele ya Ngoma na Zimbwe. Tuliona jana walilazimika kuingia na leo hii baada ya mechi watu wanasema kitu hiko hiko.

Turudi sasa katika yale makosa niliyokuwa nayazungumzia.

Kosa la kwanza ni kuelemewa na shinikizo la kisiasa na kushindwa kumuenzi ipasavyo Prof. Philemon Sarungi. Huyu mzee alikuwa Simba kindakindaki na hadi alipewa tuzo ya heshima ila kutokana na mambo ya kisiasa na wanasiasa kujipenyeza katika timu hasa kipindi hiki, naona kama kuna jambo halikwenda sawa. Ili Simba itwae kombe hili, ni lazima ndani ya kipindi hiki wafanye jambo la heshima kumuenzi Sarungi na liwe kwa ukubwa na uwazi unaostahili.

Pili, ni jezi. Hili haikuwa sehemu ya yale makosa mawili niliyoongea juzi ila nimeona nilipe kipaumbele maana niliwahi kuliongelea katika mashindano ya AFL.

Kuweka jezi ya timu pinzani katika jezi yako ni kujipunguzia baraka. Kipindi kile nilishauri hizo jezi ziwe kwa ajili ya mashabiki tu ila wachezaji wasizivae au ikibidi sana basi zionyeshe tu tarehe na fainali ya CAFCC ila timu pinzani isitajwe. Nakuhakikishia Simba ikivaa tena jezi za namna hiyo katika mechi ya pili ambazo zinaitaja Berkane, itafungwa tena.

Jambo nililoliacha ambalo katika sababu za kwanza lilikuwepo na bado naamini linaleta ugumu kwa Simba ni mlolongo na uhusika wa wanasiasa katika maandalizi ya timu. Nimeshaongelea sana suala la ndege, nimeshaongelea sana suala la kubeba mashabiki wazee ambao siyo washangiliaji walioambatana na timu. Nitawaacha wenyewe mfanye tathmini kama hayo ya ndege na mashabiki yalikuwa na tija ama la. Ila kuna hili la mlolongo wa hotuba kwa wachezaji. Hivi MwanaFa ana nini cha ziada kuwaambia wachezaji baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ambacho hawakijui zaidi ya kuwaongezea tu pressure na kuwachosha? Mbaya zaidi mnaongea nao kiswahili kwa hiyo nusu ya wachezaji hawajui hata mnawaambia nini. Makosa yanayojirudia na hatujifunzi kwa makosa hayo.

Huwa nasema, kama Serikali inadhani ina uwezo wa kuiletea timu mafanikio mbona miaka nenda rudi timu ya taifa haifanyi vizuri? Mbona timu za serikali kama JKT, Mashujaa, KMC, Prisons, nk. hazifanyi vizuri? Hata hili la kutumia bendera ya taifa kwenye mechi za vilabu ni kosa na halina tafsiri nzuri na linaweza kuwa linaathiri ufanisi wa wachezaji wa kigeni. Sijui watu wanakosa uwezo wa kufikiri au ni mihemko tu. Tusitumie mpira kutafuta umaarufu wa bure bure, kuficha maovu na/au kama chaka la kuwapotezea watu umakini wa kufuatilia mambo mengine muhimu kwa taifa lao.

Sasa hivi mnahaha kuhusu uwanja wa Mkapa. Wakati tunapiga kelele kwa miaka 2 mlituona hatuna cha maana tunachoongea, sasa hivi mnatafuta pa kuficha sura zenu.

Nadhani sasa nimeeleweka. Kazi kwenu kuamua kuyafanyia haya kazi au kuyapuuzia. Einstein aliwahi kusema "Ukichaa ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti". Naomba tutoke kwenye ukichaa.
Huna lolote ni mpiga ramli mjukuu WA Prof. Sarungi. Kawa mbunge; waziri na Dr bingwa; unataka Simba wamjengee nyunba? Kwani alicheza namba ngapi pale Simba?. Bora ungesema wamuage Chama Kwa heshima sio Sarungi
 
Jamaa kanishangaza sana. Amenadika vitu vya hovyo sana
 
Wachezaji wa berkane watufunze jinsi ya kutafuta wachezaji

Wale wachezaji ni wachezaji kweli jamaa wako tafu na ball linatembea
Mavambo, Okejepha na Nouma wana ufundi na ujana wa kuweza kukimbizana na wale Berkane. Hata Mutale jana angepewa nafasi mbele ya Ahoua kwa aina ya wachezaji wale.

Mara nyingi nasema Simba ina ugonjwa sugu wa kutumia njia ngumu kufanya jambo wakati uwezo wa kutumia njia rahisi zaidi inao.
 
Huna lolote ni mpiga ramli mjukuu WA Prof. Sarungi. Kawa mbunge; waziri na Dr bingwa; unataka Simba wamjengee nyunba? Kwani alicheza namba ngapi pale Simba?. Bora ungesema wamuage Chama Kwa heshima sio Sarungi
Jifunze kuangalia na kufikiri mambo kwa kina zaidi, itakusaidia sana
 
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.

Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu wenye jicho la tatu yapo ama la.

Uzi wa mwanzo ni huu hapa.

Ukitaka kujua najua ninachoongea, niliwahi kusema hawa Berkane inabidi kina Mavambo, Nouma na Okejepha wapewe nafasi mbele ya Ngoma na Zimbwe. Tuliona jana walilazimika kuingia na leo hii baada ya mechi watu wanasema kitu hiko hiko.

Turudi sasa katika yale makosa niliyokuwa nayazungumzia.

Kosa la kwanza ni kuelemewa na shinikizo la kisiasa na kushindwa kumuenzi ipasavyo Prof. Philemon Sarungi. Huyu mzee alikuwa Simba kindakindaki na hadi alipewa tuzo ya heshima ila kutokana na mambo ya kisiasa na wanasiasa kujipenyeza katika timu hasa kipindi hiki, naona kama kuna jambo halikwenda sawa. Ili Simba itwae kombe hili, ni lazima ndani ya kipindi hiki wafanye jambo la heshima kumuenzi Sarungi na liwe kwa ukubwa na uwazi unaostahili.

Pili, ni jezi. Hili haikuwa sehemu ya yale makosa mawili niliyoongea juzi ila nimeona nilipe kipaumbele maana niliwahi kuliongelea katika mashindano ya AFL.

Kuweka jezi ya timu pinzani katika jezi yako ni kujipunguzia baraka. Kipindi kile nilishauri hizo jezi ziwe kwa ajili ya mashabiki tu ila wachezaji wasizivae au ikibidi sana basi zionyeshe tu tarehe na fainali ya CAFCC ila timu pinzani isitajwe. Nakuhakikishia Simba ikivaa tena jezi za namna hiyo katika mechi ya pili ambazo zinaitaja Berkane, itafungwa tena.

Jambo nililoliacha ambalo katika sababu za kwanza lilikuwepo na bado naamini linaleta ugumu kwa Simba ni mlolongo na uhusika wa wanasiasa katika maandalizi ya timu. Nimeshaongelea sana suala la ndege, nimeshaongelea sana suala la kubeba mashabiki wazee ambao siyo washangiliaji walioambatana na timu. Nitawaacha wenyewe mfanye tathmini kama hayo ya ndege na mashabiki yalikuwa na tija ama la. Ila kuna hili la mlolongo wa hotuba kwa wachezaji. Hivi MwanaFa ana nini cha ziada kuwaambia wachezaji baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ambacho hawakijui zaidi ya kuwaongezea tu pressure na kuwachosha? Mbaya zaidi mnaongea nao kiswahili kwa hiyo nusu ya wachezaji hawajui hata mnawaambia nini. Makosa yanayojirudia na hatujifunzi kwa makosa hayo.

Huwa nasema, kama Serikali inadhani ina uwezo wa kuiletea timu mafanikio mbona miaka nenda rudi timu ya taifa haifanyi vizuri? Mbona timu za serikali kama JKT, Mashujaa, KMC, Prisons, nk. hazifanyi vizuri? Hata hili la kutumia bendera ya taifa kwenye mechi za vilabu ni kosa na halina tafsiri nzuri na linaweza kuwa linaathiri ufanisi wa wachezaji wa kigeni. Sijui watu wanakosa uwezo wa kufikiri au ni mihemko tu. Tusitumie mpira kutafuta umaarufu wa bure bure, kuficha maovu na/au kama chaka la kuwapotezea watu umakini wa kufuatilia mambo mengine muhimu kwa taifa lao.

Sasa hivi mnahaha kuhusu uwanja wa Mkapa. Wakati tunapiga kelele kwa miaka 2 mlituona hatuna cha maana tunachoongea, sasa hivi mnatafuta pa kuficha sura zenu.

Nadhani sasa nimeeleweka. Kazi kwenu kuamua kuyafanyia haya kazi au kuyapuuzia. Einstein aliwahi kusema "Ukichaa ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti". Naomba tutoke kwenye ukichaa.
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025. Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC guvu moya...💪.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Quote Reply
 
Hamna cha maana hapa nikutaka kujipa umhim usionao... Wewe na popoma tofauti ni umri tu.😂😂🚶
 
Ulitabiria kufika mbali baada ya kuona Hakuna zile timu kubwa zinashushwa kutoka CLUB BINGWA kama miaka mingine . Simba bado sana. Inatolewa jasho na hiyo timu ya South ndio ya kuambulia goli moja?. Tena bado refa aliwabeba sana mikia kwenye lile goli lao akasema offside. Mmekutana na timu zote vilema ilikuwa lazima ubahatishe kutabiri ksbb kulikuwa hamna tena timu kubwa kushushwa kutoka club bingwa.

Nikuambie sasa hizo goli mbili mlizotundikwa kwa kiwango cha akina Hamza,akina panzi kurukaruka. Wale sio Al Masry kwamba utageuze matokeo. Hesabu imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom