Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

Lazima utakuwa mchawi uliyerogwa na wachawi wenzio. yaani Roho inakuuma kweli kweli mwanaume mwenzio kupiga pesa kwa jasho lake? Roho mbaya sana hiyo. Ila upo radhi ukisikia wabunge wanalipwa mamilioni kwa kuzinzia bungeni. Shwain kabisa wewe
 
Kibu Denis anamvuto gani wa kibiashara? Au unamaanisha anawauzia kina Mangungu dawa za mvuto toka congo? Mtu hana hata ubalozi wa chupi za karatasi, ebu toa pumba zako hapa..mbuzi mmoja wewe
Nimesoma your last sentence nikaona utakuwa kolo maana lugha iliyobaki kolokoloni ni matusi tu jamaa wamejaa sumu 7-2 zinauma asikwambie mtu, binafsi naona Kibu D hayuko timu sahihi tu ila ni bonge la straika, timu sahihi kwake ni uto , huku hatuhitaji takwimu, hatuhitaji afunge, tunachotaka ni maguvu yake tu, kukuru kakara zake ni muhimu ili wengine wafunge.
Njoo Yanga Kibudenga !!
 
Aisee!!
 
Eti Beckham hakua na nini? acha mzaha
 
Makolo huwa mnatabia ya kuwashushia heshma wachezaji pindi mnaposhindwa makubaliano
Kibu mbona amewasaidia sana mpaka mkampa jina la Mkandaji
 
Punguza chuki mkuu, maisha hayaendi hivyo
 
Usije kuta hapo meneja wa Kibu anashirikiana na akina try again kutengeneza pressure fake ili wampige mhindi.
Kibu sio mchezaji wa kulipwa hata milioni 5 tu,ni mchezaji anajituma ndio lakini uwezo ni wa kawaida
 
Unawastua Kwa Nini waachie hao wanasajiri Kwa matakwa ya karumanzila
 
Punguza chuki mkuu, maisha hayaendi hivyo
Chuki za namna hii huwa hazitoki mbali, Ukiwa huko makazini na kwenye biashara utapata huu uzoefu.
Unaweza kuta jamaa ni rafiki kabisa wa Kibu kwenye maisha nje ya Jamii forum tena ni mshauri wake kuwa usisaini mpaka ulipwe ela hizi, komaa.
 

MBONA KAMA UMEUMIA SANA? POLE NDO MAISHA. NAWE PAMBANA KIBARUANI KWAKO UPATE CHOCHOTE.
 
Kibu Denis anamvuto gani wa kibiashara? Au unamaanisha anawauzia kina Mangungu dawa za mvuto toka congo? Mtu hana hata ubalozi wa chupi za karatasi, ebu toa pumba zako hapa..mbuzi mmoja wewe
Hizi ni chuki binafsi tu,utopolo wengi wanatamani Kibu asiendele Simba,akienda leo Yanga anaingia moja kwa moja anapata namba
 
FUTA hata mavi uliyoyaandika hapa hivi unamjua Beckham vizuri we boya
 
Hizi ni chuki binafsi tu,utopolo wengi wanatamani Kibu asiendele Simba,akienda leo Yanga anaingia moja kwa moja anapata namba
Acha uongo mjomba kibu anamuweka nani benchi yanga pale hata benchi Akai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…