Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

Habari za kiswahili swahili hzi eti riziki.......hii biashara mkuu watu wanaangalia output hayo mambo ya riziki kaa nayo wewe.
Nakaa nayo Mimi yes!unapata hasara gani akilipwa hiyo hela!?
Waliokaa nae kwenye viti wameona anastahili na input yake kwenye team wao wameiona we endelea kuumia
 
SIYO UTANI WEWE NI MWEHU KWELI.
ACHA KUSHAABIKIA MPIRA WA MIGUU UTAKUFA BURE HUJUI MPIRA.

UKIWAULIZA WALINDA MLANGO WA SIMBA MCHEZAJI ALIYEWASAIDIA WASIFUNGWE MAGOLI MENGI WATAKUAMBIA KIBU.

UKIMUULIZA SAR KUHUSU MCHEZAJI ALIYELINDA ASIPATE FEDHEHA ATAKUAMBIA NI KIBU.

UKIWAULIZIA MABEKI WA YOUNG AFRICANS MCHEZAJI GANI KUTOKA SIMBA NI TISHIO KWAO MSIMU HUU WATAKUAMBIA NI KIBU.

HATA MLINDA LANGO WA YOUNG AFRICANS KIBU ALIKUWA TISHIO KUBWA KWAKE NA HATA ILE 1-5 ILIKUWA NI KIBU VS YOUNG AFRICANS.

SASA MCHUKUE KIBU MUAMBIE WEWE NI MSHAMBULIAJI WA YOUNG AFRICANS YA SASA MTAKUJA KUSEMA TENA KULE SIMBA BOCCO ALIKUWA AKIMLOGA.
Anajua hayo yote ila ni Ile hulka ya kitanzania anahofia Kibu anaenda kuwa tajiri(Kuna mwingine alienda mbali na kumuita mkongo)
 
Zamani Kibu nilikuwa namuona mchezaji mwenye mikimbio kama ngiri pori mwenye kukurupuka na kutumia nguvu zaidi na outcome Ndogo nitashangaa tukimsajili Dar Young Africans
 
Umeandika kwa akili ndogo mno. Ukiacha takwimu za uwanjani kumbuka kuna biashara kwenye mpira. Pamoja na takwimu za uwanjani inategemea mchezaji na yeye kajiweka vipi kibiashara. George Mpole alikuwa na takwimu nzuri uwanjani ila kibiashara hakuwa na mvuto mkubwa. Hata Ulaya, David Beckham hakuwa mchezaji mkubwa sana kuzidi wengi ila alikuwa mchezaji ghali mno. Na hadi leo ni miongoni mwa wanamichezo matajiri. Kwa hiyo ndugu Kibu na management yake wako sahihi kabisa kuliendea hili suala kibiashara
Duh we mtu vipi David Beckam huyu huyu wa Man U class of 1992 kisha Real Madrid na sasa mmiliki wa Inter Miami, hakuwa mchezaji mkubwa? Lol
 
Anajua hayo yote ila ni Ile hulka ya kitanzania anahofia Kibu anaenda kuwa tajiri(Kuna mwingine alienda mbali na kumuita mkongo)
Hujielewi mzee kibu Denis a.k.a mkongo ni mchezaji wa kawaida sana hapaswi kuwalingia viongozi ila kwakua kawaona viongozi wa simba mbumbumbu lazima awaendeshe
 
Mimi ni mdau wa soka kwa miaka mingi sana. Wachezaji wa enzi za Bekham nawafahamu sana.
Hujui mpira kashangirie rede eti Beckham mchezaji wzla kawaida kwahiyo man u na real Madrid hawana akili wewe ndio unaakili sio
 
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga sc!

Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili. Unasumbuliwaje kichwa na mchezaji wa namna hii?. Huyu Kibu Denis ni zaidi ya bumunda, limejaa lakini ndani upepo. Aina yake ya mpira ni sawa na safari za chizi kwenda umbali mrefu kisha kurudi na makopo.

Ila ukiuliza pale umbumbumbuni kwa nini wanaliongezea mkataba hilo chakubanga, utasikia jamaa anajituma sanaa!!, hivi ni nani aliwaroga hawa kolozidad? Wapi katika hii dunia kuna tuzo ya mchezaji anejituma, yaan mtu anacheza nafasi ya ushambuliaji, ila mechi 18 mfululizo hana assist wala goli la kusingiziwa anawaendesha kiasi hicho? Vipi mngekuwa na mtu kama pacome au maxi au aziz ki, si mngekuwa mnatembea mnajamba jamba hovyo kwa shibe ya furaha.. Hovyo kabisa
ndiohovyo anavuta.mpungawake safi

Kaongezewa Fred nn kibu
 
Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili.
Ndugu yangu haya mambo yanapangwa na matapeli wenzie pale simba wanaojiita viongozi kupiga hizi hela!
Hizi fedha zina mgao wake kwa matapeli yale!
Jaribu kuangalia wote halafu nipe kazi zao au biashara wanazofanya!

97% ni makanjanja na sio viongozi!
 
wwewe waje wakusikie
 

Attachments

  • 1715581987299.jpg
    1715581987299.jpg
    380.4 KB · Views: 4
Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
Kuna mbumbumbu mmoja humu aliwahi kumshindanisha Kibu na Mayele, wana vituko sana.
 
Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
Yanga ndio waliowaponza Simba, kwa kujifanya wanamtaka Kibu D.
 
Back
Top Bottom