Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

Habari za kiswahili swahili hzi eti riziki.......hii biashara mkuu watu wanaangalia output hayo mambo ya riziki kaa nayo wewe.
Nakaa nayo Mimi yes!unapata hasara gani akilipwa hiyo hela!?
Waliokaa nae kwenye viti wameona anastahili na input yake kwenye team wao wameiona we endelea kuumia
 
Anajua hayo yote ila ni Ile hulka ya kitanzania anahofia Kibu anaenda kuwa tajiri(Kuna mwingine alienda mbali na kumuita mkongo)
 
Zamani Kibu nilikuwa namuona mchezaji mwenye mikimbio kama ngiri pori mwenye kukurupuka na kutumia nguvu zaidi na outcome Ndogo nitashangaa tukimsajili Dar Young Africans
 
Duh we mtu vipi David Beckam huyu huyu wa Man U class of 1992 kisha Real Madrid na sasa mmiliki wa Inter Miami, hakuwa mchezaji mkubwa? Lol
 
Anajua hayo yote ila ni Ile hulka ya kitanzania anahofia Kibu anaenda kuwa tajiri(Kuna mwingine alienda mbali na kumuita mkongo)
Hujielewi mzee kibu Denis a.k.a mkongo ni mchezaji wa kawaida sana hapaswi kuwalingia viongozi ila kwakua kawaona viongozi wa simba mbumbumbu lazima awaendeshe
 
Mimi ni mdau wa soka kwa miaka mingi sana. Wachezaji wa enzi za Bekham nawafahamu sana.
Hujui mpira kashangirie rede eti Beckham mchezaji wzla kawaida kwahiyo man u na real Madrid hawana akili wewe ndio unaakili sio
 
ndiohovyo anavuta.mpungawake safi

Kaongezewa Fred nn kibu
 
Ndugu yangu haya mambo yanapangwa na matapeli wenzie pale simba wanaojiita viongozi kupiga hizi hela!
Hizi fedha zina mgao wake kwa matapeli yale!
Jaribu kuangalia wote halafu nipe kazi zao au biashara wanazofanya!

97% ni makanjanja na sio viongozi!
 
wwewe waje wakusikie
 

Attachments

  • 1715581987299.jpg
    380.4 KB · Views: 4
Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
Kuna mbumbumbu mmoja humu aliwahi kumshindanisha Kibu na Mayele, wana vituko sana.
 
Ni kweli na kitu kinachompa mchezaji bargain power wakati wa usajili ni takwimu zake kiwanjani.. Na mpaka sasa takwimu za kibu Denis niza hovyo, kwa pesa hiyo simba sc wanaweza pata mchezaji productive mzuri kuliko kibu, over!
Yanga ndio waliowaponza Simba, kwa kujifanya wanamtaka Kibu D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…