ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni.
Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao.
Kibu Ali sain pre contract na akahaidiana na Viongozi wa Simba kuwa atasaini wakikamilisha baadhi ya matakwa ya kimkataba, Simba wakakaa kimya, Kibu akaamua achukue hata ya kusaka timu ULAYA na UARABUNI.
Tujiulize yaani Kibu awe na mkataba wa million 760 then aukimbie akalipwe sh ngap.
Leo amkataa mwanasheria pandikizi la Simba lililowekwa kumchafua Kibu akijinadi ndo wakala wake Leo Kibu kamkataa, kwanini Simba waweke pandikizi kuzungumza mambo ya uongo?
Tujiulize yani Kibu amekuwa mjinga akatae management yake, hii sio kweli.
Viongozi wa Simba semeni ukweli, Kuna nini acheni kuwadanganya ati Kibu mlimpa mkataba, pre contract sio mkataba wa kutamba nao,
Kaeni kimya Kibu akafanye kazi ULAYA