Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na maelezo ya Wakala wake Bw. Carlos Kibu alikuwa amemalizana kila kitu na Klabu ya Simba na hivyo kuwa mchezaji halali wa Simba. Hata safari ya kwenda Ulaya Wakala wake alimshauri sana awasiliane na Uongozi wa Simba ingawa yeye hakutaka kufuata ushauri huo. Hivyo, Kibu anachotakiwa kufanya ni kutekeleza matakwa ya Mkataba wake na Simba hata kama amepata timu nyingine.Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni.
Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao.
Kibu Ali sain pre contract na akahaidiana na Viongozi wa Simba kuwa atasaini wakikamilisha baadhi ya matakwa ya kimkataba, Simba wakakaa kimya, Kibu akaamua achukue hata ya kusaka timu ULAYA na UARABUNI.
Tujiulize yaani Kibu awe na mkataba wa million 760 then aukimbie akalipwe sh ngap.
Leo amkataa mwanasheria pandikizi la Simba lililowekwa kumchafua Kibu akijinadi ndo wakala wake Leo Kibu kamkataa, kwanini Simba waweke pandikizi kuzungumza mambo ya uongo?
Tujiulize yani Kibu amekuwa mjinga akatae management yake, hii sio kweli.
Viongozi wa Simba semeni ukweli, Kuna nini acheni kuwadanganya ati Kibu mlimpa mkataba, pre contract sio mkataba wa kutamba nao,
Kaeni kimya Kibu akafanye kazi ULAYA
Je hatohitaji release letter toka simba?Alisain pre contract
Ambao sawa sawa ni kishika uchumba.
Kishika uchumba hakimuzui Binti kuolewa Kwa mwanaume mwingine
Sawa sawaKulingana na maelezo ya Wakala wake Bw. Carlos Kibu alikuwa amemalizana kila kitu na Klabu ya Simba na hivyo kuwa mchezaji halali wa Simba. Hata safari ya kwenda Ulaya Wakala wake alimshauri sana awasiliane na Uongozi wa Simba ingawa yeye hakutaka kufuata ushauri huo. Hivyo, Kibu anachotakiwa kufanya ni kutekeleza matakwa ya Mkataba wake na Simba hata kama amepata timu nyingine.
Hahahahaha, kuna ka mchezo hapaSimba ipi ya kumlipa mchezaji 760m zote acheni uongo Chama kaondoka Simba kisa pesa ndogo..ndio mtoe hayo mamilioni kwa Kibu.
Duh, ndio maana jeuri basi ,itakua kuna loophole sehemu ktk mkataba wakeHatohitaji wala haipo simba
Hakuna loophole kaka. Kibu ni mjinga tu. Anachotaka ni kulazimisha kama wenzake waliotangulia katika kuvunja mikataba.Duh, ndio maana jeuri basi ,itakua kuna loophole sehemu ktk mkataba wake
Ipo kubwaDuh, ndio maana jeuri basi ,itakua kuna loophole sehemu ktk mkataba wake
Sitamwambia tenaHakuna loophole kaka. Kibu ni mjinga tu. Anachotaka ni kulazimisha kama wenzake waliotangulia katika kuvunja mikataba.
Kama wakala wake Bwana Carlos kasema kalipwa stahiki zake zote, sasa kuna kipi cha kupinga hapo.
Nafikiri tusubiri tuone hatima yake. Imani yangu itaisha salama kwasababu za 'Kitanzania' zaidi.
Vitu vingine havihitaji hata utumie akili ila nashangaa watu kuingia King kirahisi..ukiona Yanga au Simba pana zogo na Mchezaji jua Timu ndio ina matatizo..Hahahahaha, kuna ka mchezo hapa
Huyu wanayemng'ang'ania saiz ni mfanya usafi!Hata kama Yanga wanamtaka bil 2.7 watoe aje Jangwani. Aliondoka Sakho .Simba haina historia ya kung'ang'ania wachezaji.
Sawa sawa MkuuVitu vingine havihitaji hata utumie akili ila nashangaa watu kuingia King kirahisi..ukiona Yanga au Simba pana zogo na Mchezaji jua Timu ndio ina matatizo..
Nataka kusikia hy timu ya ulaya itasemaje ktk hili sakataHakuna loophole kaka. Kibu ni mjinga tu. Anachotaka ni kulazimisha kama wenzake waliotangulia katika kuvunja mikataba.
Kama wakala wake Bwana Carlos kasema kalipwa stahiki zake zote, sasa kuna kipi cha kupinga hapo.
Nafikiri tusubiri tuone hatima yake. Imani yangu itaisha salama kwasababu za 'Kitanzania' zaidi.