Kibu Denis siyo mjinga, Kuna jambo halipo sawa hapo kati ya Simba na Kibu

Labda kama akienda kubadilisha fani nyingine lakini kama mpira pesa ya simba itarudi tu
 
Kulingana na maelezo ya Wakala wake Bw. Carlos Kibu alikuwa amemalizana kila kitu na Klabu ya Simba na hivyo kuwa mchezaji halali wa Simba. Hata safari ya kwenda Ulaya Wakala wake alimshauri sana awasiliane na Uongozi wa Simba ingawa yeye hakutaka kufuata ushauri huo. Hivyo, Kibu anachotakiwa kufanya ni kutekeleza matakwa ya Mkataba wake na Simba hata kama amepata timu nyingine.
 
Sawa sawa
 
Duh, ndio maana jeuri basi ,itakua kuna loophole sehemu ktk mkataba wake
Hakuna loophole kaka. Kibu ni mjinga tu. Anachotaka ni kulazimisha kama wenzake waliotangulia katika kuvunja mikataba.

Kama wakala wake Bwana Carlos kasema kalipwa stahiki zake zote, sasa kuna kipi cha kupinga hapo.

Nafikiri tusubiri tuone hatima yake. Imani yangu itaisha salama kwasababu za 'Kitanzania' zaidi.
 
Duh, ndio maana jeuri basi ,itakua kuna loophole sehemu ktk mkataba wake
Ipo kubwa
Simba wanawake pumbaza mashabiki
Kibu sio mtu wa kukataa mkataba
Hii Dunia ina utandawazi.
Ingekuwa rahisi hivo Aziz ki asingekataa million 97 akubali million 40 ya yanga
 
Sitamwambia tena
Ni hivi Simba ni waongo, hana mkataba na yule jamaa sio mwanasheria wake hili deal jipya hajamtumia hajui lolote,
Huyo kapangwa na Simba aongee atulize sintofahamu
 
Nataka kusikia hy timu ya ulaya itasemaje ktk hili sakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…