Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

Acheni ushamba....
Kafunga kwny mechi muhimu ya Alhly Tripol..huko kwny ligi hata asipofunga haiwahusu...
mwambieni Dube wenu afunge...
Na kamsulubisha kipa wenu hata kama ilikua offside...
 
Acheni ushamba....
Kafunga kwny mechi muhimu ya Alhly Tripol..huko kwny ligi hata asipofunga haiwahusu...
mwambieni Dube wenu afunge...
Na kamsulubisha kipa wenu hata kama ilikua offside...
Kibu sio beki au kiungo wa kati we andazi
 
Story za vijana wa kitanzania
Bila shaka ni shabiki wa utopolo united.
Kibu ana umuhimu mkubwa sana kwetu Simba SC, ligi ya NBC watafunga akina mkwala kimataifa ndiyo eneo lake.

Prince Mpumbavu Dube Hana goal wala assist au hata la offside mpaka sasa na humjadili.

Yanga wengi wao fyuzi zilishachomoka.
 
Back
Top Bottom