Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

Vipi kuhusu mshambuliaji Mpumelela amefunga magoli mangapi?
 
Nimeikuta mahali nimecheka sanaaaaa...
Screenshot_20241106-094113_Instagram.jpg
 
Upo sahihi mkuu sisi simba tunahitaji winga mwingine ambaye anaweza kutengeneza nafasi na kufunga magoli but kibu bado ni muhimu sana kwa kasi yake,energy yake,uwezo wake mkubwa wa kukaba,miguvu yake inayomfanya aweze kuwahold mabeki hata wa3. Kibu tupo naye na tunatamba naye.
 
Nafikiri kocha kumweka kwenye mipango yake licha ya rekodi mbovu kwenye NBCPL ana mantiki yake.... Labda Bado anadadisi amtumie vipi hili aweze kuwa na msaada zaidi na timu.
 
Back
Top Bottom