GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC.
Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.
Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?