Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ndo sheria imefuatwaa...😀😀😀Wakati mnashangilia uhuni wa Feitoto hamkujuwa kwamba mpira unaongozwa kwa taratibu na sheria?
Pambaneni huko huko kwenu...akiondoka mwingine tunashabikia hivyo hivyo wewe Ngoshaaa...Yameshasahau! 🚮
Sijapenda mkuu kuwa na tabia ya roho ya korosho. Kibu akifanikiwa akiwa huko Norway sifa ni kwa simba.Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.
Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Nagūtogilwe nonono!Pambaneni huko huko kwenu...akiondoka mwingine tunashabikia hivyo hivyo wewe Ngoshaaa...
Naheneee....😀😀😀Nagūtogilwe nonono!
Kama atakuwa akilipwa mshahara,poa tu.Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.
Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Nzūgū nagūtole nkoyi!Naheneee....😀😀😀
Mpuuzi sana huyo dogo, huwezi ukawa mkosa shukrani na akili kiasi hicho. Dawa yake huyo Simba wampeleke Mtibwa kwa Mkopo akacheze ligi daraja la kwanzaBaada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.
Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Akae benchi, afanye mazoezi na timu ya U15Sasa wanasimba mnasemaje tuwauzie uto au tumweke benchi msimu mzima...?
😃😃😃😃😃Akae benchi, afanye mazoezi na timu ya U15
Na Kiwango chake pia Kikishuka kabisa itakuwa bado ni Poa tu Kwako?Ka
Kama atakuwa akilipwa mshahara,poa tu.
Hakuna Adhabu mbaya na ya Kikatili / Kishalubela kama hii Mkuu.😃😃😃😃😃
wacha uongo dogoNataka Uongozi wa Simba SC ( hasa Benchi la Ufundi ) wampigishe Benchi Msimu mzima ili akome na liwe Fundisho.
kikishuka ni chake hakikuhusu sawa dogo?Na Kiwango chake pia Kikishuka kabisa itakuwa bado ni Poa tu Kwako?
Hapana wasimpige benchi wampe kazi ya kufagia pale bunju mpaka msimu uishe baada ya hapo wampeleke kwenye timu daraja la kwanza kwa mkopo wa msimu mzima.Nataka Uongozi wa Simba SC ( hasa Benchi la Ufundi ) wampigishe Benchi Msimu mzima ili akome na liwe Fundisho.
Shoboka tena nami nikuripoti upewe BAN nyingine sawa?kikishuka ni chake hakikuhusu sawa dogo?
Shoboka tena nami nikuripoti upewe BAN nyingine sawa?wacha uongo dogo