Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.

Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Sijapenda mkuu kuwa na tabia ya roho ya korosho. Kibu akifanikiwa akiwa huko Norway sifa ni kwa simba.
 
Ka
Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.

Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Kama atakuwa akilipwa mshahara,poa tu.
 
Mpuuzi sana huyo dogo, huwezi ukawa mkosa shukrani na akili kiasi hicho. Dawa yake huyo Simba wampeleke Mtibwa kwa Mkopo akacheze ligi daraja la kwanza
 
Nataka Uongozi wa Simba SC ( hasa Benchi la Ufundi ) wampigishe Benchi Msimu mzima ili akome na liwe Fundisho.
Hapana wasimpige benchi wampe kazi ya kufagia pale bunju mpaka msimu uishe baada ya hapo wampeleke kwenye timu daraja la kwanza kwa mkopo wa msimu mzima.

NB: ila kwa uzwazwa wa viongozi wa Simba sitashangaa kibu akarudishwa kundini na litakua kosa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom